Msaada
Rejesha akaunti yako
Umepoteza SIM yako ya zamani, umebadilisha mtandao, au mtu mwingine ana nambari yako sasa? Tuma ombi hapa ili tukusaidie kuhamisha akaunti yako ya Shahidi (pamoja na sifa yako) kwa nambari mpya.
Tunafanya nini?
- Unatuma ombi hili
- Tunakupigia kwenye nambari mpya kuthibitisha ni wewe
- Tunaomba picha ya kitambulisho cha taifa au ushahidi mwingine
- Baada ya ukaguzi, tunahamisha sifa yako kwa akaunti mpya
TahadhariHatuhamishi akaunti yoyote bila ukaguzi wa ushahidi wa kibinafsi. Hii ni kuzuia mtu mwingine asijifanye kuwa wewe.
Tuma ombi
Andika nambari zako mbili na ueleze nini kilichotokea. Tutawasiliana nawe ndani ya siku 1-3.